TANZIA: MWANAHABARI CHARLES NGEREZA AFARIKI
Aliyekuwa Mwandishi wa habari wa Redio One, ITV, Idhaa ya Kiswahili ya DW na Makamu Mwenyekiti wa Arusha Press Club, Charles Ngereza amefariki leo asubuhi Machi 23, 2019 kataka Hospitali ya Mt. Elizabeth Jijini Arusha.
0 COMMENTS:
Post a Comment