March 15, 2019

Ukilisikia jina la Konki Liquid, jinsi lilivyokuwa maarufu waweza kudhani huendi labda ni mwanamuziki au muigizaji au pengine hata mcheza mpira lakini la hasha.

Konki amepata umaarufu kupitia ulevi yaani ni mnywaji wa pombe kupita kiasi na akishalewa hufanya vituko ambavyo ndivyo haswa vilivyompa umaarufu.

Ulevi wa Konki na vituko vyake hatimaye umempa faida baada ya kulamba shavu la kuwa balozi wa Hoteli ya Mami Inn iliyopo maeneo ya Temeke jijini Dar es Salaam

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic