March 9, 2019


Kikosi cha Simba usiku wa juzi (Machi 7, 2019) kilifanya mazoezi ya mwisho kwenye mji wa Algeria, ikiwa ni kipindi chake cha pili cha mazoezi tangu kuwasili nchini Algeria, safari hii kikitumia Uwanja unaomilikiwa na Kituo cha Zimamoto cha Algiers. 

Jana asubuhi (Machi 8, 2019) kilianza safari ya kutoka Algers kwa ndege, kuelekea katika Mji wa Bechar ambako ndiko mchezo wao dhidi ya JS saoura utapigwa. 

Kabla ya safari, Kocha Mkuu wa timu hiyo Patrick Aussems alizungumza na Azam TV kuhusu mechi hiyo na kugusia urefu wa safari, mbinu atakazotumia kucheza na JS Saoura pamoja na hali ya hewa waliyokutana nayo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic