March 8, 2019


Kocha Mwinyi Zahera Wa Yanga amesema kuichangia leo klabu hiyo siyo kwamba ni vibaya hiyo ni kwaajili yaku weka akiba nzuri ya msimu ujao katika klabu hiyo na kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika ligi


Hata hivyo kocha huyo amesema mpango wao mkubwa niku fanya usajili mkubwa hususani katika dirisha dogo  usajili la mwezi wa 9 mwaka huu.

2 COMMENTS:

  1. Kwa Kipindi kifupi alichokaa Zahera Tanzania tayari amashagundua kuwa watanzania ni watu wasiowaaminifu ni waongo. Nadhani kutokuwepo na sheria madhubuti yenye kutoa adhabu ya mfano Tanzania kwa mwenye kusema uongo hata ukiwa na udogo wa kiasi gani ndio chanzo cha watanzania kuwa miongoni mwa jamii ya watu wasiowaaminifu. Tabia ya udanganyifu ama uongo kwenye jamii yeyote ile ndio chanzo cha umasikini,vita,ukahaba,
    maradhi ya hatari kama vile ukwimwi,ndoa kuvunjika,rushwa,wizi,
    Ujambazi,umalaya,mambo haya yote chanzo chake kikubwa ni udanganyifu uliolelewa na kuonekana kama kitu kisichokuwa na madhara ndani ya jamii husika lakini kwa kweli uongo ni kitu hatari kunako jamii kuliko kitu kingine chochote Chenye athari ndani ya maisha ya mwanadamu kwakuwa ndio mzazi wa majanga yote. Sina uhakika wa sheria ya nchi yetu nakusudia Tanzania zina ukali gani katika kupambana na kosa la kusema uongo kwani utaona hata wanasiasa wakizungumza uongo hadharani bila ya uoga labda kwa kutambua yakwamba adhabu juu ya kosa hilo la kusema uongo ipo legelege. Mfano mzuri Tundu Lisu sio kwamba namtolea mfano kwa kuwa na chuki nae hapana ila binafsi amenivunja moyo sana nikimshuhudia akisema uongo zaidi ya uhalisia wa mambo anayoyazungumza duniani.Tundu Lisu anasema hakuna kitu cha maana kilichofanyika kwenye Serikali ya awamu ya tano? Hapa Tundu Lisu anasema uongo. Na hata alipobanwa na kuainishiwa baadhi ya mafanikio tangu serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani lakini yeye Tundu Lisu aliamua kupindua mada na kuamua kumfananisha Muheshimiwa raisi Magufuli na Adolf Hitler, akisema kuwa hata Hitler aliwaajengea wajerumani mabarabara nakadhalika? Kumfananisha Magufuli na Adolf Hitler? Lisu ni miongoni mwa watu waongo na hatari sana kwa taifa la Tanzania na kizazi chake cha leo na kinachokuja.Na kama nchi yetu itaendelea na sheria legelege kwa wanaosema uongo basi hili taifa linaelekea kuangamia kwani hata kule Rwanda yale mauaji ya kinyama yaliotokea chanzo chake ni uongo ulioonekana kama masihara na kuishia umwagaji wa damu wa ajabu kuwahi kutokea barani Africa. Watanzania tuseme hapana na kukemea na kuchukia kwa nguvu zetu zote juu ya udanganyifu wa aina yeyote ile uwe udanganyifu wa kauli, kazi,ibada,masomo, mapenzi,makubaliano,nakadhalika nakadhalika kwanza ni aibu hata kesho Mbele ya Mungu.

    ReplyDelete
  2. Mwandishi hapo sasa mbona rais hajatajwa na zahera au mheshimiwa rais alishapinga mfumo wa kuichangia yanga?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic