YANGA WAUNDA KAMATI MAALUM YA KUSIMAMIA KAMPENI ZA KUICHANGIA KLABU, HII HAPA Uongozi wa klabu ya Yanga umeunda Kamati Maaalum itakayosimamia uzinduzi na uhamasishaji rasmi wa kampeni ya kuchangia Yanga.
Safi sana Yanga. Sio kumwachia Kocha kufanya kazi hiyo hapana si sawa
ReplyDelete