April 4, 2019

3 COMMENTS:

  1. Nimeipenda hii ya mjusi kuvaa kimini

    ReplyDelete
  2. Simba chama langu fanyeni kweli Yanga huku "pumzi" imekata....gari la mkaa halifiki mwisho wa kituo...

    ReplyDelete
  3. Duuuh! Mjuc kuvaa kimini!!! Hii ni kali, Da boss, unavitoa wapi hv vimsemo?!! Zahera anautumia vibaya Uhuru alioukuta TZ, Congo hawezi kufyatuka hv. Lakini kila suiku najiuliza na hata humu kwenye Bolg huwa nahoji..... "Hivi hakuna Sheria ambazo zinawabana makocha au viongozi wa timu fulani katika kuzungumza maneno fulani yasiyostahili juu ya timu pinzani? TFF haina miongozo juu ya watu wenye tabia kama hizi za Zahera? Maana sasa zimefikia hatua zinawakera wengi, na mimi ni mmojawapo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic