April 20, 2019


FT: Kagera Sugar 2-1 Simba
Uwanja: Kaitaba Gooooal

 Emmanuel Okwi dk ya 63

 Kipindi cha pili kimeanza, Zimeongezwa dakika 5

Goooooal: Kassim Khamis
Goooooal: Ramadhan Kapera
Zinaongezwa dakika nne

Hasan Dilunga njano dk ya 67 Okwi dk ya 64 njano

Said Kipao wa Kagra Sugar anaonyeshwa kadi ya njano dk ya 69, Kassim njano dk ya 73.

KASSIM Khamis anawanyanyua mashabiki wa Kagera Sugar dakika ya 20 kwa kuitanguliza timu yake kuongoza mbele ya Simba akimalizia pasi ya Ramadhan Kapera.

Dakika ya 40 Kagera Sugar wanapachika bao la pili kupitia kwa Ramadhan Kapera.

Kagera Sugar iliyo chini ya kocha Mecky Maxime imeanza kwa kasi kushambulia lango la Aish Manula na kupata kile ambacho ilikuwa inahitai kwa sasa.

 Emmanuel Okwi anaandika bao la kwanza kwa Simba dakika ya 63 akimalizia pasi ya Chama.

Mashabiki waliojitokeza ni wengi kuona namna ushindani ulivyo huku mashambulizi kwa timu zote yakiwa ni makali.

5 COMMENTS:

  1. Mmmh muosha kaoshwa au kiporo cha ndizi mwenzetu hajazoea?

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. Kiporo cha tajiri Leo hakijalika na kama mpira utachezwa tu uwanjani kama kawaida yake tutayaona haya matokeo game zngne pia Kagera hafungwagi kvile na simba kaitaba big up kagera

    ReplyDelete
  4. UTASEMA NINI? UKITOA USHAURI UNAJIBIWA MPIRA UNA MATOKEO 3. INAKERA SANA HAMSIKILIZI USHAURI MPAKA INABOA

    ReplyDelete
  5. poor marking watu wanachezea mpira watakavyo?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic