April 20, 2019


KUELEKEA katika mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa kwenye Uwanja wa Kaitaba, leo Jumamosi, habari ni kuwa idadi ya mabao ya washambuliaji wawili wa Simba, Meddie Kagere na John Bocco wamefunga mabao mengi kuliko hata idadi ya mabao ya timu nzima ya wapinzani wao hao.

Hadi sasa Kagere amefunga mabao 16 huku John Bocco akiwa na mabao 11.

Ukiyajumlisha mabao yao jumla ni 27 huku Kagera Sugar kwa msimu wote huu wakiwa na mabao 26.

Kumbuka kuwa Kagera wamecheza michezo 32 na wana pointi 36 katika ligi huku Simba wakiwa na mechi 23, wakiwa na pointi 60 wakifunga mabao 50 jumla na wana pointi 60.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic