KIKOSI cha Mbao FC jana kililazimisha suluhu mbele ya Azam FC mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba.
Mbao iliyo chini ya Salum Mayanga amabye ni kocha mpya aliyepokea mikoba ya Ally Bushiri jana aliambulia pointi yake ya kwanza baada ya kukabisdhiwa timu hiyo.
Manyanga alipoteza pointi sita baada ya kupoteza mchezo wa kwanza mbele ya Simba na ule wa pili mbele ya Alliance FC.
Huu ni msimu wa tatu mfululizo Azam FC wanashindwa kupata pointi tatu mbele ya Mbao FC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba wakati Mbao FC.

0 COMMENTS:
Post a Comment