April 25, 2019

3 COMMENTS:

  1. Kwa mtazamo wangu kocha huyo bado sana na si wa kiwango cha kuifundisha Simba hii ya sasa. Masoud alikuwa bora sana kuliko huyu sasa tusishushe viwango. Kama mkataba bado hakufikiriwa kupewa ina maana hatoshi basi yote heri. Sioni ubora wake kwa simba hii.

    ReplyDelete
  2. Kimsing Simba Inatakiwa Kuwa Makocho Bora Na Si Lazima Msaidizi Awe Mzawa Atafutwe Hata Nje Ilimradi Awa CV Za Juu Kulingana Na Ubora Wa Klabu Kwa Sasa
    Kitambi Kama Anataka Kuondoka Asepe Tu,

    ReplyDelete
  3. Jamani kitambi si kocha mbaya lakini sema tu hatujui sifa za kocha huyu ndo maana tunakurupuka hata huyo mnaemsifia masud aliitaka simba je angeiweza hii simba? jibu sahihi ni hapana kabisa tena hapana, tayari Fc kigali imeshamfukuza huyo masud sasa simba je, tukitaka wakufunzi wote wawe wa nje turudi kwa wachezaji je watawaelewa wakufunzi kwa ufasaha zaidi kama vile mzawa atakavyowasaidia katika maelekezo ya kocha mkuu? hapo napo kuna swali la kuuliza tena sana tusiangalie makocha pekee, pia ukiangalia hata Ptrick alitaka mzawa unajua kwa nn alimtaka ndio alikutana na changamoto za mawasiliano ingawa mpira unalugha yake lakini ndo maana akataka mzawa so kuweni wapole acheni waliojuu wafanye yao. Asanteni sana.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic