Aaron Ramsey amevunja mapumziko yake ya kwenda nchini Ureno kwa ajili ya kuisaidia timu yake ya Arsenal kwenye fainali ya Ligi ya Europa.
Mshambuliaji huyo mkataba wake unakamilika mwezi ujao ndani ya Arsenal atasaini mkataba mpya ndani ya kikosi cha Juventus.
Ramsey mwenye miaka 28 hakuwa na msimu mzuri ndani ya Arsenal kutokana na kusumbuliwa na majeruhi kwa muda mrefu.
Fainali hiyo ya Ligi ya Europa dhidi ya Arsenal itachezwa Mei 29.
0 COMMENTS:
Post a Comment