May 19, 2019


FT: Simba 2-0 Ndanda 
Uwanja wa Uhuru
Gooaal: Kagere dk ya 5 na 11
Kipindi cha pili zimeongezwa dakika tatu

Mabadiliko kwa Simba Hasan Dilunga anakwenda benchi anaingia James Kotei.
Wawa anaingia akichukua nafasi ya Mlipili.
Bocco anatoka dakika ya 83 nafasi yake inachukuliwa na Rashid Juma.

Kwa upande wa Ndanda, Yusufu Mhilu anaingia dk ya 57 akichukua nafasi ya Mohamed Mponda.
Kigi Makasi anatoka dk ya 79 anaingia Salum Chubi.

MCHEZO kwa sasa uwanja wa Uhuru kati ya Simba na Ndanda ni kipindi cha pili.

Meddie Kagere amefunga mabao 2 la kwanza dakika ya 5 akimalizia pasi ya John Bocco na bao la pili dakika ya 11 akimalizia pasi ya Chama.

Simba wamepiga jumla ya mashuti 7 ambayo hayajalenga lango na Ndanda wamepiga mashuti matano.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic