BREAKING: AJALI MBAYA!! MAGARI MAWILI YAGONGANA USO KWA USO MDAULA, WAWILI WAFARIKI
Watu wawili wanahofiwa kufariki dunia baada ya gari ndogo lenye namba za usajiri T 340 DHG kugongana uso kwa uso na Fuso katika eneo la Mdaula mkoani Pwani.
Taarifa za awali kutoka kwa mashuhuda zinadai kwamba, waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea lea majira ya asubuhi walikuwa katika gari dogo.
Dereva wa Fuso na abiria wake wamekimbizwa katika hospitali ya Chalinze kwa matibabu zaidi.
CREDIT: AZAM TV
0 COMMENTS:
Post a Comment