May 18, 2019

Hafla ya utoaji Tuzo za Mo Simba 2019 inatarajiwa kufanyika siku ya Alhamisi Mei 30, 2019 katika hoteli ya Hyatt Regency iliyopo Jijini Dar es Salaam. 

Orodha iliyotolewa kwa wanaowania tuzo kwa wachezaji wa Simba ni kama ifuatavyo:-

Wanaowania tuzo ya Kiungo Bora wa Mwaka
James Kotei
Mzamiru Yassin na
Jonas Mkude


Wanaowania tuzo ya Mshambuliaji Bora wa Mwaka
John Bocco
Meddie Kagere na
Emmanuel Okwi


Wanaowania tuzo ya mchezaji bora
John Bocco
Clatous Chama
Meddie Kagere

Wanaowania tuzo ya golikipa bora

Aishi Manula na Deogratius Munishi

Wanaowania tuzo ya Beki Bora wa Mwaka 
Erasto Nyoni
Shomari Kapombe na
Pascal Wawa


Wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora Mdogo
Paul Bukaba
Adam Salamba na
Rashid Juma


Wanaowania tuzo ya Goli Bora la Mwaka

Clatous Chama VS Nkana FC
Clatous Chama VS AS Vita Club
Meddie Kagere VS Yanga SC
John Bocco VS Biashara United



Zoezi la upigaji wa kura linafanyika kupitia tovuti ya mosimbaawards.co.tz 

1 COMMENTS:

  1. Chama natajwa kwenye tuzo ya mchezaji bora wakati hayupo kwenye tuzo ya viungo bora hii ni maajabu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic