May 5, 2019


KIKOSI cha Chelsea kilicho chini ya Meneja, Maurizio Sarri leo kimejiongezea kasi ya kubaki kwenye nne bora baada ya ushindi wa mabao 3-0 walioupata mbele ya Watford uwanja wa Stamford Bridge.

Ushindi huu unaiweka nafasi ya tatu wanaishusha Totttenham wakiwa wamejikusanyia jumla ya pointi 71 baada ya kucheza michezo 37.


Bao la kichwa cha Ruben Loftus dakika ya 48 na David Luiz dakika ya 51 zote kutoka kwa mchawi wa assist Eden Hazard zilitosha kuipa pointi tatu Chelsea kabla ya Gonzalo Higuain kupachika bao la tatu dakika ya 78.Dakika ya 87. 

Hazard alikuwa akikaribia kupiga hat-trick ya assist baada ya kupiga pasi iliyomfuata Olivier Giroud ambaye ilimuacha umbali mita 10


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic