DAKIKA 7 ZAMFANYA HAJI MANARA AZIDI KUWALIPUA YANGA, MSOME HAPA Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuhusiana na dakika 7 zilizoongezwa katika mchezo wa jana baina yao na JKT Tanzania.
Usidaganye watu ungekuwa we we unaongoza wewe ukasawazishiwa au ukafunfwa we we dunia si ingezizima?
ReplyDeleteJifunze kuandika. Unataka kuelezea nini?Yanga nä Lipuli Iringa kulikuwa na 9 za ziada?Nani alilalamika?Mnalalakamika mpaka inakera.
ReplyDeleteWatambie watajitambua hao vyura
DeleteHv nyie vyura mbn huwa mna husuda kiasi hiki nyie mbn kwa Lipuli waliongeza dkt 7 lkn hakuna aliyeuliza hv mkoje lkn duuuuuuuu
ReplyDelete