NISEME KWELI TARATIBU KOCHA ANAANZA KUTUSIKILIZA WAPENZI WA SOKA KWA KUWAJUMUISHA WACHEZAJI TUNAOWAPIGANIA AKIWEMO AJIB NA TSHABALALA. LAKINI PAKITOKEA NAFASI TATU TU HEBU WAONGEZENI AIYEE MWENYE GOLI 16 KWENYE TPL, DILUNGA HD, PAUL GODFREY NA RASHID JUMA. VIJANA HAWA WATALETA TIJA KWENYE TIMU YETU.
Kwa kweli hawezi kila mchezaji akaitwa timu ya taifa japo ni listi ya awali lakini kwa kweli inatia moya sana kuona jitihada zimefanyika kujaribu kuita kila mchezaji mwenye uwezo. Kwa upande wangu nimeshangazwa sana kukosekana khasani Dilunga na Rashid Juma kwenye listi hii. Sio usimba bali hawa vijana wapo vizuri na ukiwaeleza nini mechi ya kimataifa na maandalizi yake kiakili na kimwili basi watakujibu kiufasaha kabisa kimaneno na vitendo lakini kocha na washauri wake ndio wapangaji.
Wadau wengi wa soka walililia Ajib uwepo kwenye kikosi cha timu ya taifa sahiz jina lako lipo. Ukashindwe mwenyewe katika fursa uliyopata
ReplyDeleteMchezaji ana kitambi!Shop gemu.
ReplyDeleteThis is rubbish unamuachaje aiyee mwenye goli16 mpaka saivi unateletea wakina mandewa
ReplyDeleteNISEME KWELI TARATIBU KOCHA ANAANZA KUTUSIKILIZA WAPENZI WA SOKA KWA KUWAJUMUISHA WACHEZAJI TUNAOWAPIGANIA AKIWEMO AJIB NA TSHABALALA. LAKINI PAKITOKEA NAFASI TATU TU HEBU WAONGEZENI AIYEE MWENYE GOLI 16 KWENYE TPL, DILUNGA HD, PAUL GODFREY NA RASHID JUMA. VIJANA HAWA WATALETA TIJA KWENYE TIMU YETU.
ReplyDeleteSahihi
DeleteKwa kweli hawezi kila mchezaji akaitwa timu ya taifa japo ni listi ya awali lakini kwa kweli inatia moya sana kuona jitihada zimefanyika kujaribu kuita kila mchezaji mwenye uwezo.
ReplyDeleteKwa upande wangu nimeshangazwa sana kukosekana khasani Dilunga na Rashid Juma kwenye listi hii. Sio usimba bali hawa vijana wapo vizuri na ukiwaeleza nini mechi ya kimataifa na maandalizi yake kiakili na kimwili basi watakujibu kiufasaha kabisa kimaneno na vitendo lakini kocha na washauri wake ndio wapangaji.
Kapombe?,duh mtabaki kushangaa
ReplyDelete