May 18, 2019


Imeelezwa kuwa Kocha mkuu wa Simba, Patrick Aussems tayari ameandaa ripoti ya usajili wa klabu hiyo kwa ajili ya msimu ujao.

Aussems ameandaa ripoti na kinachosubiliwa kwa sasa ni kukabidhiwa kwa Mwenyekiti ya Bodi ya Wakurungezi ya klabu ili kuipeleka kwenye kikao cha bodi.

Katika ripoti hiyo Aussems anataka kuongeza wachezaji wanne wa kimataifa ikiwa ni Beki wawili, kiungo na mshambuliaji mmoja.

Aidha, kwenye hiyo ripoti inasema wachezaji wote muhimu ambao mikataba yao inaisha na wamecheza zaidi ya asilimia 50 ya mechi msimu huu waongezewe mikataba mipya kwa gharama yoyote.

5 COMMENTS:

  1. SAFI MNO. WACHEZAJI WOTE MUHIMU WAWEMO. GYAN, OKWI, NIYONZIMA, CHAMA, BOCCO, KAGERE, MANULA, MLIPILI, TSHABALALA, DILUNGA, RASHID JUMA, MZAMIRU, MKUDE NA WENGINE WOTE MUHIMU WAWEMO KIKOSI KIPANA.

    ReplyDelete
  2. ONGEZA GOLIKIPA KAKOLANYA PLZE PLZE

    ReplyDelete
  3. Hakuna mwenngine Kakolanya au mtakuja kujuta

    ReplyDelete
  4. Hakuna kuliko Kakolanya au msjuto mjukuu

    ReplyDelete
  5. Dida ni reserve wa manula na kakolanya alikuwa reserve wa dida yanga , sasa akija simba atacheza mechi gani zaidi ya mapinduzi cup

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic