May 3, 2019

LEO Ijumaa, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo kwa sasa ni mzunguko wa pili na lala salama.

Timu nane zitakuwa kwenye viwanja vinne tofauti kuzisaka pointi tatu muhimu kama ifuatavyo:-

Mbeya City itamenyana na Simba, Uwanja wa Sokoine majira ya saa 10:00 Jioni.

Ruvu itamenyana na JKT Tanzania, Uwanja wa Mabatini majira ya saa 10:00 Jioni.

Singida United itakuwa kazini leo dhidi ya Mtibwa Sugar majira ya saa 10:00 uwanja wa Namfua.

Alliance Fc itamenyana na Kagera Sugar uwanja wa Nyamagana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic