KAZI IPO!! TAZAMA NAMNA RATIBA SIMBA ILIVYO NGUMU, MECHI TANO NDANI YA SIKU KUMI
Mei 19
16:00 Simba SC vs Ndanda Fc
Uwanja:- Uhuru, Dar
Mei 21
16:00 Singida United vs Simba SC
Uwanja:- Namfua, Singida
Mei 23 (Friendly Match)
16:00 Simba SC vs Sevilla
Uwanja:- Taifa Dar
Mei 25
16:00 Simba SC vs Biashara United
Uwanja:- Uhuru Dar
Mei 28
16:00 Mtibwa Sugar vs Simba SC
Uwanja:- Jamhuri, Morogoro
Mungu ainusuru Yanga kwasababu ingelipata kama ratiba hiyo sijui Kocha Zahera angesema nini
ReplyDeleteCha ajabu nini mbona ilikuwa hivyo siku zote!au kucheza mechi 7 ktk siku 16 ni tofauti sana
ReplyDeleteSimba wao watoe sare kila mechi na mambo yatakuwa freshi kwani Yanga haiwezi pata bao 28 katika siku mbili
inabid tupampane nayo to hakuna jinsi tunahitaji point moja tu
ReplyDelete