NAHODHA wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta, leo atakuwa kazini kumaliza ngwe ya mwisho kwenye Ligi Kuu nchini Ubelgiji kwa msimu wa 2018/2019 ambapo watamaliza kwa kucheza na Standard Liege.
Timu ya Samatta KRC Genk inakamilisha ratiba leo kwani imetwaa ubingwa kbaada ya kufikisha pointi 51 ambazo kwa sasa hakuna timu ambayo ina ubavu wa kuigusa.
Leo watakuwa nyumbani wakicheza kibingwa zaidi wakiwa hawana cha kupoteza.
0 COMMENTS:
Post a Comment