May 1, 2019

BABA wa msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, mzee Abdul Juma amesema atajadili na mwanaye ili aweze kufanya naye kolabo.

Mzee Abdul amesema kuwa anau wezo mkubwa wa kuimba na kuandika mashairi hali ambayo inamfanya ajiamini na kile ambacho anakifanya na anaamini anaweza kuimba na mwanae Diaamond.

“Nitaongea na mwanangu, jambo hilo halina matatizo, kwani  kuku ni wako huwezi ukakaa nje ukampiga kwa manati,” amesema msanii huyo ambaye sasa anatamba na wimbo wa  Dudu La Yuyu.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic