May 18, 2019

SAFU ya Ushambuliaji wa Simba inayoongozwa na Meddie Kagere, John Bocco na Emmanuel Okwi imefikisha jumla ya mabao 50 kwa sasa.

Kinara wa upachikaji mabao ndani ya Simba ni Kagere mwenye mabao 20 huku Okwi na Bocco kila mmoja ana mabao 15.

Idadi hiyo ya mabao ambayo imefunga katika michezo 34 ni sawa na mabao ambayo yamefungwa na kikosi cha Azam ambao wamecheza jumla ya michezo 36.

Safu ya Azam FC inaongozwa na Donald Ngoma ambaye ana mabao 10 akiwa ni kinara ndani ya kikosi hicho ambacho kwa sasa kipo nafasi ya tatu kikiwa kimekusanya jumla ya pointi 69.

1 COMMENTS:

  1. Sijaelewa point ya kurukwa Yanga ambayo ni ya pili katika ligi?au timu yako wandishi wa saleh jembe haijapotezwa?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic