May 5, 2019


Tanzania Prisons 0-1 Simba
Uwanja: Sokoine
Okwi goal dk ya 11

MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi leo ameandika bao lake la 11 kwenye mchezo kati ya Simba dhidi ya Prisons uliomalizika uwanja wa Sokoine.

Okwi amefunga bao hilo dakika ya 11 akimalizia pasi ya James Kotei baada ya kuwapiga chenga mabeki wa Prisons kabla ya kuzamisha mpira kwenye nyavu.

Huu ni mchezo wa pili Simba kucheza uwanja wa Sokoine baada ya juzi kucheza dhidi ya Mbeya City ambapo walishinda mabao 2-1.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic