VIDEO: STEVE NYERERE AIPONDA SIMBA SC – “YANGA INA MASHABIKI MIL 50” Msanii wa filamu Bongo, Steve Nyerere, ambaye ni shabiki wa damu wa klabu ya Yanga, amewataka mashabiki wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanjani inapotokea klabu hiyo.
Wanayanga wanataka vitendo wamechoka na ahadi na mipango.....sajilini wachezaji waonekane sio ahadi tupu na mipango na michakato!
ReplyDeleteHUYU MSAMEHENI BUREEEE
ReplyDeletehuyu kila kwenye michango yupo hapo anatafuta gia ya kuingia
ReplyDelete