ZAHERA AIBUKA NA JIPYA JUU YA MAKAMBO
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera baada ya kurejea nchini amesema yeye si wakala wa mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo.
Zahera amekanusha hilo baada ya kuwapo maneno mengi kuwa ni wakala wa mchezaji huyo akisema kuwa alimuomba tu amsindikize Guinea.
Pia Zahera amedai kuwa Makambo hayupo Yanga kwa mkopo bali ni mchezaji halali wa klabu ya Yanga na fedha yote ambayo atauzwa itaingia Yanga.
Kuhusu kusajiliwa na Horoya amedai bado Horoya haijamsajili watakuja kuongea na Yanga na kumalizana kuhusu picha zilizoenea kwenye mitandao amesema waandishi ni waongo sana.
Huyu Zahera ni mtu hatari sana lakini wazungu walisema you can't fool all the people at the same time.Atawafanya mazuzu hao hao watu wa Yanga ila wenye akili zao wanajua ukweli halisi wa mambo. Inawezekana kabisa Zahera akaenda kuungana na Makambo kule Horoya nchini Guinea. Kitu kimoja kifahamike kuwa Guinea ni French speaking country ambayo Zahera atajisikia yupo more comfortable kufanya kazi kuliko hapa Tanzania. Kitendo cha Simba kuwapa mikataba mipya wachezaji wake muhimu fasta fasta imechangiwa pia na Zahera baada ya kuwepo minong'ono yakwamba huenda Zahera akatimkia Horoya na kama inavyojulikana yakwamba kuna baadhi ya wachezaji wa Simba ambao Zahera kila kukicha haachi kuwataja kuwa angependa kufanya nao kazi. Sumba kuna watu weledi sana wa mambo ila wacha kwanza tuendelee kuichabo hii cinema ya Makambo na Yanga itafikia wapi .
ReplyDeleteMbona unateseka wewe yaan unaongea vitu utadhan unaish na Zahera acha kujifanya unajua xna .....ushabik wako Wa kipuuz xna hufai ht kdg
DeleteWafuasi wa mropokaji manara hao wanatokwa na povu balaa hayawahusu ya nn kutia kelele?
DeleteWafuasi wa mropokaji manara hao wanatokwa na povu balaa hayawahusu ya nn kutia kelele?
DeleteWanayanga wanataka vitendo wamechoka na ahadi na mipango.....sajilini wachezaji waonekane sio ahadi tupu na mipango na michakato!
ReplyDelete