Uongozi huu mpya usiporudisha furaha ya wanayanga kwa kufanya usajili wiki hii moja au mbili hautadumu, wanachoka na machungu na kudhihakiwa mtaani kila habari inayotoka inawaumiza wamechoka maneno tutafanya, tuko kwenye mchakato au Ninategemea kusajili, hayo maneno matupu na ahadi hewa, hakuna kinachofanyika mnajenga chuki kubwa mioyoni mwa nafsi zao...........wanayanga sio wavumilivu watazileta fito na bakora!! Wakikumbuka kilichotokea mwaka 1975....Kwahiyo UJUMBE MFANYE USAJILI WIKI HII LASIVYO KUNA FUKUTO LINAENDELEA....VURUGU KUBWA INAKUJA!!!!
Kwasababu walimpa nguvu na uhuru kuliko nguvu za wenye Yanga. Karuhusiwa kumfukuza kipa Almasi Kwa kila aina Ambae sasa ananyanganyiwa na mabilionea WA nyumbani na WA ugenini na hii sasa ndio ahsante yake
Makambo alikuwa Yanga kwa mkopo kutoka Motema Pembe na agent wake ni Zahera. Hivyo hakuna cha ajabu kusini Horoya kwani Yanga haimiliki.Viongozi wapya hawakujua kwamba ni mchezaji wa mkopo??
Uongozi huu mpya usiporudisha furaha ya wanayanga kwa kufanya usajili wiki hii moja au mbili hautadumu, wanachoka na machungu na kudhihakiwa mtaani kila habari inayotoka inawaumiza wamechoka maneno tutafanya, tuko kwenye mchakato au Ninategemea kusajili, hayo maneno matupu na ahadi hewa, hakuna kinachofanyika mnajenga chuki kubwa mioyoni mwa nafsi zao...........wanayanga sio wavumilivu watazileta fito na bakora!! Wakikumbuka kilichotokea mwaka 1975....Kwahiyo UJUMBE MFANYE USAJILI WIKI HII LASIVYO KUNA FUKUTO LINAENDELEA....VURUGU KUBWA INAKUJA!!!!
ReplyDeleteKwasababu walimpa nguvu na uhuru kuliko nguvu za wenye Yanga. Karuhusiwa kumfukuza kipa Almasi Kwa kila aina Ambae sasa ananyanganyiwa na mabilionea WA nyumbani na WA ugenini na hii sasa ndio ahsante yake
ReplyDeleteMakambo alikuwa Yanga kwa mkopo kutoka Motema Pembe na agent wake ni Zahera. Hivyo hakuna cha ajabu kusini Horoya kwani Yanga haimiliki.Viongozi wapya hawakujua kwamba ni mchezaji wa mkopo??
ReplyDeleteKusaini.
ReplyDelete