Kipindi cha kipyenga chetu ni somo tosha kwa waamuzi wenyewe,mabenchi ya ufundi,wachezaji na wadau wa soka nchini.Nimeshasema humu ni vizuri kwa makocha kuwa wanafanya marejesho kwenye kipindi cha "kipyenga chetu" ambacho Mwamuzi mstaafu Kazi na wenzake wanachambua kufuatana na taaluma yao na sio ushabiki.kipindi hiki hakichambui ligi yetu tu bali pia na mechi za nje ya Tanzania.
Huyu kazi hajawahi hata siku moja kusema yanga kaonewa na wala hajawahi kuikosoa simba ndio maana kafungiwa maisha huyu kwa sababu anaweka unazi mbele
ReplyDeleteKafungiwa6na nani wewe wacha uzushi.Picha hazindanganyi wacha kuleta unazi.Goli halali kabisa. Angalia walipo Yondani nä Andrew Vincent mpira unapopigwa.Wacheni kupenda bila kuzingatia ukweli na weledi.
ReplyDeleteKipindi cha kipyenga chetu ni somo tosha kwa waamuzi wenyewe,mabenchi ya ufundi,wachezaji na wadau wa soka nchini.Nimeshasema humu ni vizuri kwa makocha kuwa wanafanya marejesho kwenye kipindi cha "kipyenga chetu" ambacho Mwamuzi mstaafu Kazi na wenzake wanachambua kufuatana na taaluma yao na sio ushabiki.kipindi hiki hakichambui ligi yetu tu bali pia na mechi za nje ya Tanzania.
ReplyDelete