June 2, 2019


Imeelezwa  kuwa beki wa kati anayekipiga katika klabu ya Es Metlaoui ya Tunisia, Ange Bares ameingia katika rada za kusajiliwa na Simba.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 32 na raia wa Ivor Coast ameingia kwenye rada hizo ikiwa ni moja ya mapendekezo ambayo Kocha Patrick Aussems aliyataka ya kuhitaji beki mmoja katika nafasi hiyo.

Taarifa zinasema beki huyo aliwahi kuvichezea vilabu vya Horoya Athletic ya Guinea na Asec Mimosas ya Ivory Coast.

Imeelzwa kuwa wakala wake Patrick Gakumba ambaye amemalizana na bodi ya wakurungezi ya klabu ya Simba kumleta beki huyo ili achukue nafasi ya Juuko Murshid anayeondoka Simba.

5 COMMENTS:

  1. Replies
    1. Huyu huyu mzee ndio mzuri.. vijana wapo wengi wazawa!

      Delete
    2. tunahitaji wachezaji wenye exprience ktk michuano ya kimataifa hivyo umri si kigezo kikubwa kwani ligi ya mabingwa haijaweka kigezo cha umri au wawe under 20 yrs ...hatuwahitaji wachezaji wa show off wanaocheza na majukwaa ...tunahitaji wachezaji wachezaji wa kazi na wenye viwango na sio wakucheza ndondo.

      Delete
  2. hivi kuna kipengele kwenye usajili kinahususisha umri?

    ReplyDelete
  3. Kwanaini sumba iingie gharama kusaini beki Mkongwe wakati mabeki wazuri wenye umri mdogo wamejaa tele.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic