Uamuzi wa Simba kumuongezea mshambuliaji wake Meddie Kagere miaka
Miwili umeelezwa umetokana na mambo mawili makubwa.
MOJA:
Ni baada ya Kagere raia wa Rwanda kufanya vema msimu uliopita akiibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara. Hivyo Simba wameona makali yake bado wanahitaji.
MBILI:
Simba imeona idadi ya timu zinazomfuatilia Kagere kutaka kupata saini yake zimeongezeka.
Hadi timu kubwa kama Al Ahly, Zamalek nazo zimeonyesha nia na Simba walichofanya ni kumpa mkataba na baada ya hapo ni tusubiri atakayemtaka amwage mamilioni.
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteAcheni kutudanganya, hakuna timu kutoka nchi za kiarabu itanunua mchezaji mwenye zaidi ya 32 yrs tena kutoka EA!! Habari za kuuzia magazeti
ReplyDeleteNawe huna taarifa, hupaswi kukataa au kukubali.
DeletePicha ya zamani, sahilini acheni porojo
ReplyDelete