June 14, 2019

2 COMMENTS:

  1. Raha yako nini Simba ikikwama. Muda wote huo hamkuweza kuifikisha Club ilipo sasa kifedha. Na kama ni uwekezaji mlikuwa mlikuwa wapi msiufanye.

    Nafikiri kama huyu mzee ana maanisha kupenda mafanikio ya Simba basi ataruhusu Hekima katika hili na wala sio kurumbana.

    Club nyingi zilizofanikiwa sasa hata Africa hao kina TP Mazembe wamefanya maamuzi mazuri na sio huu UTEMI wa kizamani

    ReplyDelete
  2. Mzee anakosea na anakaribisha sintofahamu kwenye klabu ya Simba b isiyo ya lazima.yeye kama anamadai yake ya msingi kwanini asiende serikalini? Ukiangalia kwa undani utagundua kuwa mzee ndie mwenye nia mbaya na huo waraka kuliko huko anakodai anahofu nako kuupeleka .

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic