June 19, 2019


Beki kiraka wa timu ya KMC, Ally Ally 'Mwarabu'  amemalizana na uongozi wa Yanga kwa kusaini mkataba wa miaka miwili

Ally amekuwa bora ndani ya KMC hali iliyomvutia Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera na kuacha maagizo kwamba naye aongezwe kwa wachezaji wa ndani.

Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredirick Mwakalebela amesema kuwa mipango ya usajili inaendelea kwa sasa kwa wachezaji wa ndani kwani wale wa kigeni wamekamilisha maagizo ya mwalimu kwa asilimia 90.

4 COMMENTS:

  1. afadhali wamchukue yale magoli ya kujifunga yataisha

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. majungu wakati alikuwa anawapa magoli ya bure

      Delete
  3. Kumbe alikuwa mwananch pure..haina shida mwisho wa siku no new mpira uleule lig ile ile yaan lig yetu kivyetuvyetu..Tukutane agost..kwa mkapa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic