HILI NDILO KUNDI LA TANZANIA KUFUZU AFCON CAMEROON 2021 Timu ya Taifa ya Tanzania imeanzia hatua ya makundi ya kuwania kufuzu Fainali ya Mataifa ya Afrika mwaka 2021 itakayofanyika nchini Cameroon. Tanzania imepangwa kundi J ikiwa na timu zifuatavyo Tunisia, Libya na Equatorial Guinea.
0 COMMENTS:
Post a Comment