July 19, 2019


Kipa Mkongwe wa Tanzania na klabu mbalimbali vya Ligi kuu Tanzania Bara Juma Kaseja ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa kwa mara ya pili tokea kipindi cha aliyewhi kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Maxmo.

Hii inakuja baada ya kocha Etiene Dailangije kuchukua mikoba ya ya Emmanuel Amunike ambaye alikuwa akikinoa kikosi hicho, ambaye hata hivo anakinoa kikosi cha timu ya Azam FC ya Jijini Dar es Salaam.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic