KAMA UNADHANI MO ANAONDOKA SIMBA HILI NDIYO TAMKO LAKE
Ujumbe aliouandika Mwekezaji wa Simba Mohammed Dewji 'Mo' ikiwa ni baada ya sekeseke lililojitokeza hivi karibuni juu ya yeye kuelezwa kuwa ataachana na Simba.
“Hate no one no matter how much they have wronged you. Live humbly no matter how wealthy you have become, think positively no matter how hard life is. Give much even if you have been given a little, and forgive who has wronged you”-
Usimchukie yoyote, haijalishi wamekukosea kwa kiasi gani. Ishi kwa upendo bila kujali utajiri ulioupata, kuwa na fikra chanya bila kujali ugumu wa maisha ulivyo. Toa zaidi hata kama ulipewa kidogo na wasamehe waliokukosea", ameandika Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa Instagram.
The weak can never forgive. Forgiveness is the attribute of the strong
ReplyDeleteSasa hapo kuondoka simba kunahusikaje,mbona mnapenda kuformulate vitu,sijui alisomea Chuo gani Huyu undishi nikajua Kuna kitu Mo kaongea kuhusu simba,
ReplyDeleteKwani nani alisema mo anaondoka? Au mnaanza kumwabudu mtu mmoja mmoja?
ReplyDeleteAcheni kujibaraguza nyie. Nyie si ndio mliokuwa mnatamani mzee Kilomoni aongee kila Siku nyie. So ndio kwenye tafrija yenu fupi mlimpa hadi nafasi ya kuongea????? Mnaboa.
ReplyDeletePoleni mi ninajua maumivu mnayopata mnapoona Simba ya sasa inaweza kuwa hatari zaidi ya ile ya mwaka Jana eeeeheheheheheheeh
Aaaahahahahaahahajajj
Mnatuchosha bure ,roho inakuumeni andika za wale kuleeeee
ReplyDelete