Mlinda
mlango wa Yanga, Metacha Mnata amesema kuwa wamejipanga kufanya kutoa burudani kwenye
mchezo wao dhidi ya AS Vita utakaochezwa uwanja wa Taifa.
Yanga
itamenyana na AS Vita ya Congo mchezo wa kirafiki utakaochezwa Agosti 4 siku ya kilele cha wiki ya Wananchi.
Mnata
amesema kuwa mazoezi ambayo wanayafanya yanawajenga na kuwaimarisha kila siku.
0 COMMENTS:
Post a Comment