LIGT AUNGANA NA CR7 JUVENTUS, ASAINI MIAKA MITANO
Klabu ya Juventus imekamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Uholanzi Matthijs de Ligt.
Beki huyo kutoka Ajax amekamilisha usajili huo kwa dau la euro, €75m.
De Ligt mwenye umri wa miaka 19 amesaini mkataba wa miaka mitano Juventus mkataba ambao utaisha June 2024.
0 COMMENTS:
Post a Comment