July 19, 2019

PEP Guardiola Meneja wa Manchester City amesema kuwa kwenye kikosi chake kama kuna mchezaji anataka kusepa ruksa yeye hana hiyana anachotaka kuona kila mchezaji awe na furaha ndani ya timu hiyo.

Bayern Munich imesema kuwa inamtaka nyota wa kikosi hicho Leroy Sane na meneja huyo kasema hana hiyana asepe tu.

"Kama Sane anataka kuondoka hapa sio vibaya iwapo ataruhusiwa ili wengine watakaobaki wawe na furaha," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic