July 17, 2019


MASHABIKI wa Liverpool wamebeba imani kwamba kusajiliwa kwa Antonie Griezmann kutawapa neema ya kumpata nyota wa kikosi cha Barcelona, Ousmane Dembele.

Barcelona waliweka mezani kitita cha pauni milioni 108 na kumsajili winga, Griezmann ingawa jambo hilo bado linapingwa na klabu yake ya Atletico Madrid.

Mashabiki wa Livepool wanaamini kuwa kitendo cha nyota huyo kutua Barcelona kitampa wakati mgumu wa kupata namba Dembele ndani ya kikosi hicho hivyo njia nyepesi ni kutimkia Liverpool ambao inaelezwa kuwa wanahitaji saini yake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic