July 8, 2019

KINDA Callum Hudson-Odoi inaaminika kwamba yupo tayari kusaini kandarasi mpya ndani ya klabu ya Chelsea.

Hudson-Odoi inaelezwa kuwa amechukua hatua hiyo baada kuhakikishiwa muda wa kucheza na kocha mpya wa Chelsea Frank Lampard.

Kinda huyo ana miaka 18 kwa sasa yupo tayari kusaini kandarasi mpya ndani ya kikosi hicho na kusitisha mpango wake wa kutimkia Bayern Munich.

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic