July 2, 2019

8 COMMENTS:

  1. Safi sana Ninja,nimependa ujaremba kuchangamkia fursa

    ReplyDelete
  2. Yaani hapo angekuwa Ajibu asingekubali kabisa kuondoka na kukaa mbali na maghorofa ya Kariakoo.
    Big Up Ninja!!

    ReplyDelete
  3. kila la kheri Ninja,hapa ndipo nashangaa,mchezaji anaachwa na timu halafu timu kubwa ya ulaya inamwona na kumchukua. Tuna tatizo kubwa

    ReplyDelete
  4. jambo la ajabu ni mchezaji ndio kwanza anasaini mkataba na hapo hapo anatolewa kwa mkopo !!! mimi bado nashangaa !!!

    ReplyDelete
  5. Maajabu kwa kweli kwenda kucheza LA Galaxy ya Marekani.Hapa hata timu ya Taifa hayupo.Kila la kheri Ninja

    ReplyDelete
  6. Hizi ni porojo ambazo tumezizoea kila siku katika kiblog uchwara hiki.Mbona hatumuoni mwakilishi yeyote kutoka hiyo timu tunayotaka kuaminishwa kuwa imemsajili.Anachofanya mwandishi ni ukuwadi na kucheza na akili za viongozi wa Yanga ili aonekane ni bab kubwa aongezewe mkataba wakati hana namba katika kikosi cha msimu ujao.

    ReplyDelete
  7. Bonge la hongera kwa huyu mchezaji akijibidisha ni hazina ya Taifa Stars...Yanga mjifunze kuwapa mikataba mirefu wachezaji vijana kama hawa sasa anaondoka na klabu haimbulii hata senti

    ReplyDelete
  8. Hongera sana ninja we ni mpambanaji was kweli, naamini IPO cku utacheza afcon ya 2021

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic