July 22, 2019


INAELEZWA kuwa nyota wa Barcelona wanashikiniza uongozi umrudishe nyota wa zamani wa kikosi hicho Neymar Jr ambaye anakipiga PSG.

Mastaa hao wakiongozwa na nyota wa timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi mwenye umri wa miaka 32 wapo pamoja na Luis Suarez, Gerrad Pique na wote wanaamini kuwa nyota huyo bado ana nafasi ndani ya Barcelona.

Messi anataka kurejea kwa staa huyo ili kurejea kwa utatu wa MSN uliotamba kipindi akiwa ndani ya Barcelona.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic