July 21, 2019



JUSTIN Shonga mshambuliaji wa kikosi cha timu ya Orlando Pirates mwenye miaka 22 ni mkali wa kutupia akiwa ndani ya timu yake ya Taifa ya Zambia.

Rekodi zinaonyesha kuwa nyota huyo mwenye uzito wa kg 65 kwa mwaka 2017-18 amecheza jumla ya mechi 18 na amepachika jumla ya mabao 1 ndani ya timu ya Taifa.

Kwa sasa anatajwa kuwindwa na Simba ambao wamesema kuwa wamebakiza nafasi moja ya usajili msimu huu kabla ya dirisha kufungwa.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa hawana presha na suala la kupigwa faini kwani wapo vizuri.

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic