July 16, 2019

BEKI wa kikosi cha Simba Gadiel Michael amesema kuwa kikosi cha Simba kipo imara tangu msimu uliopita jambo lililoipa ubingwa.

Gadiel kwa sasa yupo na Simba Afrika Kusini baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga.

"Simba ni timu bora na imara tangu msimu uliopita ndio maana iliweza kutwaa ubingwa, nina imani msimu ujao tutashirikiana vema kufanya vizuri na kufikia malengo," amesema.

Simba ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara baada ya kutwaa mara mbili mfululizo kuanzia msimu wa 2017-18, 2018-19.

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic