BAADA ya
mlinda mlango namba mbili wa Simba, Deogratius Munish ‘Dida’ kuwaaga mashabiki
wa Simba sasa huenda akarejea kukipiga tena Afrika Kusini.
Dida
alisajiliwa na Simba akitokea timu ya Amatuks ya Afrika Kusini kwa kandarasi ya
mwaka mmoja ambayo tayari imemalizika.
0 COMMENTS:
Post a Comment