July 19, 2019


SELEMAN Matola Kocha wa Polisi Tanzania amesema kuwa bado wachezaji wawili ili akamilishe kukisuka kikosi chake kipya.

Matola amesema kuwa hadi sasa amesajili wachezaji 11 kati ya 13 aliokuwa anawahitaji kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

"Nahitaji kuwa na kikosi imara na kitakacholeta ushindani msimu ujao, kwa sasa zimebaki nafasi mbili tu ili kukamilisha usajili," amesema.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic