July 30, 2019

Sadney Urknob leo amekiwasha kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Friends Ranger uliochezwa uwanja wa Highland Park kwa kufunga moja ya bao kwenye ushindi wa mabao 2-0.

Leo Yanga ilicheza mchezo wa kirafiki kwa lengo la kujiweka sawa kwa ajili ya msimu ujao wakiwa chini ya Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera.

Sadney alipachika bao hilo dakika ya 38 na bao la pili lilifungwa na Papy Tshishimbi dakika ya 64.

3 COMMENTS:

  1. Kati ya mechi zote hizo ingelikuwa Jambo la mana kupata angalau timu mbili za upinzani kama vile Mtibwa, Mbao, Kagera Sugar, Singida

    ReplyDelete
    Replies
    1. umekariri, mpira hauko hivyo!!

      Delete
  2. Orando pirate huku friend rangers ni vitu tofauti kabisa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic