Kila mbuz anakula kulingana na urefu kamba yake hao wachezaji unao wataja na wa garama kubwa na hali ya yanga unaijua kusajiru cio kazi kazi kawalipa mshahara au unataka Tena waanze kutugomea?????
Ninja wakati anasajiliwa alionrkana hana ishu Leo keshaula ameonekana Wa kimataifa Na mshahara analipwa milioni 46 Kwa wiki,hao tuliowaona wazuri wako hapahapa!
Kila mtu kulingana Na anavyojituma usimbeze usiyemjua
Hebu kuweni serious nyie Yanga mnaenda kushiriki CAF CL halafu mnasajili rookie ili mumfundishe kucheza mashindano ya kimataifa? Hebu toeni mkopo Kindoki wekeni Walusimbi au Batambuze....msitutie aibu CAF mwisho tuzipoteze nafasi zetu 4 za CAF Competitions
ReplyDeleteBoxer alitoka timu gani?
DeleteKila mbuz anakula kulingana na urefu kamba yake hao wachezaji unao wataja na wa garama kubwa na hali ya yanga unaijua kusajiru cio kazi kazi kawalipa mshahara au unataka Tena waanze kutugomea?????
DeleteYanga bado hawaja jua kama wanakwenda kushiriki michuano ya aina gani naona wana sajili sajili tu
ReplyDeleteHaiwahusu.
DeleteKila la kheri najua safar bado ngumu ila tutafika sehem mzur tu na tukawa na timu shindan kwenye ligi yetu.
ReplyDeleteNinja wakati anasajiliwa alionrkana hana ishu Leo keshaula ameonekana Wa kimataifa Na mshahara analipwa milioni 46 Kwa wiki,hao tuliowaona wazuri wako hapahapa!
ReplyDeleteKila mtu kulingana Na anavyojituma usimbeze usiyemjua
Huyo jamaa yupo vizur
ReplyDeleteHwa kweli watanganyika mnakuwa na dharau sana na wachezaji wanaotoka Zanzibar halafu mwisho wa siku hao hao mnaowadharau wanakutieni aibu.
ReplyDelete