July 19, 2019


UONGOZI wa Global Publishers umewapongeza kwa kuwapa kitita cha fedha wanahabari wake, Imelda Mtema na Hillary Daudi,  kwa kuonesha weledi wa kutogombea fedha wakati mwigizaji wa Bongo Movies, Irene Uwoya alipowamwagia fedha waandishi wa habari waliojitokeza katika Ukumbi wa Hyatt Kilimanjaro jijini Dar, hivi karibuni kwenye mkutano ulioitishwa na wasanii wa tasnia ya filamu nchini.

Tukio hilo la Uwoya lilielezwa kuwa la kidhalilishaji kwa waandishi ambao walipigana vikumbo kugombea fedha za msanii huyo.

Pichani juu ni Mhariri Mshauri wa Magazeti ya Global, Elvan Stambuli (kulia) akimkabidhi kitita cha fedha mwanahabari wa Global TV, Hilaly Daudi,  baada ya kuonyesha weledi wa kutogombea fedha wakati mwigizaji wa Bongo Movies, Irene Uwoya,  alipowamwagia fedha waandishi wa habari waliojitokeza katika Ukumbi wa Hyatt Kilimanjaro jijini Dar, hivi karibuni kwenye mkutano ulioitishwa na wasanii wa tasnia ya filamu nchini.

3 COMMENTS:

  1. Mpe mtu zawad ya kudumu....recogniton ndo muhim....pesa kwa pesa tofaut n muundo wa utoaji

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. Imenifurahisha sana! "Amegombea akiwa peke ake". I like it.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic