Yanga Mtake msitake uwekezaji mkubwa unatakiwa....michango ya wananchi/wanachama/mashabiki pesa za viingilio kwenye mechi, kuuza jezi hakuwezi kuwafanya kuwekeza kwenye miundo mbinu (kama ujenzi wa viwanja, akademi, hostel) na kusajili na kuwahudumia wachezaji wenye uwezo Africa, kuwa na benchi la ufundi la kisasa.....lazima mtafute wawekezaji 3 au 2. Pia preseason trials na timu za chini sio idea nzuri mashindano ya CAF yanakuja lazima friendly matches mpate zile zenye viwango vya juu....mnaweza mkafanya ziara katika nchi jirani....lakini sio kucheza na Nkamba Rangers au Mawenzi Market sio kipimo kizuri

ReplyDelete